Rapper Geez Mabovu
aliefariki siku ya jana mida ya saa mbili na dakika 15 (kwa mujibu wa
baba yake mdogo) amezikwa leo hii katika makaburi ya mlolo mkoani kwao
Iringa.
Mazishi yake yamefanyika leo hii mida ya saa kumi jioni na kuhudhuriwa
na ndugu jamaa na marafiki na hata baadhi ya wasanii wakiwemo Joh
Makini, G nako pamoja na producer Lamar
Joh Makini akimpa mkono wa pole baba mzazi wa Ahmed Ally Upete (Geez Mabovu) walipohudhuria mazishi Iringa








Hakuna maoni:
Chapisha Maoni