Wimbo wa Yamoto Band unaofanya vizuri kwa sasa "Niseme" umerudiwa na
wasanii ambao bado sijawafahamu ni kina nani ila dizaini wametupia
mshairi ya dini na usiposikiliza vizuri utjua ni Yamoto jinsi ambavyo
wameipatia
Hivi ndivyo inayoanza kwenye upande wa mashairi yake
shetani yesu yuleee, walevi yesu yuleeee, wazinzi yesu yuleeeee (yeeesu yeeesu huyooooo)
Ale Yesu huyo, katoka mbinguni zawadi mkononi kaleta bibble*2
(tuspate tabu ya kutangaza neno)
Ale yesu umerudi nipe upako nitangaze neno lako, shetani ibilisi achukie nami niringe nijigambe
ila yesu wachungaji sikuhizi wanapigana, zile sadaka zetu ndo zinazofanya wanagombana .......
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni