Exclusive: Hujaiona video ya Diamond "Nitampata wapi" fanya kuicheki hapa - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ijumaa, 21 Novemba 2014

Exclusive: Hujaiona video ya Diamond "Nitampata wapi" fanya kuicheki hapa

Akizungumza na mtangazaji wa Clouds FM Diamond amezungumzia wimbo yake mpya 

"Nitampata Wapi" na kudai kwamba utakuwa ni wimbo mkali ulio  katika hadhi ya mapenzi na sio zile nyimbo za kukimbiza kimbiza, yaani akidai kwamba itakuwa inafanana kama ile ya nenda
kamwambie, ukimwona au lala salama
 Video ya wimbo huu imefanyikia S.A chini ya director..
God Father pia amezizungumzia zile barua ambazo wazazi wameandika kwaajili ya watoto wao na anaanza kuzifanyia kazi hivi karibuni na alipoulizwa kuhusiana na Wema Sepetu alikuwa anaruka ruka tu na kushindwa kutoa jibu lililo sahihi






Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa