Diamond Platnumz akisoma barua za watoto zilizoandikwa na wazazi wao ni kuhusiana na project
ya
Smile With Diamond inayoanza hivi karibuni hata kama ww unamwanao na
anamkubali sana Diamond na unapenda aje kumtembelea mwanao basi
ujachelewa unaweza kuandika barua na kuifikisha Clouds Fm Leo tena na
kaka yetu Diamond atamtembelea mwanao na kumpatia zawadi mabli mbali
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni