Banana
Zoro ambae ni kaka wa Maunda Zoro na mtoto wa mkongwe mzee Zahir Zorro,
ameingia darasani kujifunza muziki wa Hiphop na mwalimu wake akiwa ni
Mwana FA.
Banana
Zoro ni mmoja kati ya wasanii wachache wenye uwezo wa kufanya aina
nyingi ya muziki na bado akawa mkali kotekote.Kwa zaidi ya miaka 10
ndani ya game ya muziki tumemshuhudia akifanya muziki wa Bongo
fleva,R&B,
zouk,afro pop,na hata rock.
mi
naimba miziki ya aina yote, feeling itakayokuja reggae r&b n asasa
hivi FA anani train hiphop moja just aa song , sio kwamba nina fanyanya
ndo nitachofanya lakini experince watu soko linabadilika na ushindani
unazidi kukuwa, hata ku-record bado mpaka training yenyewe sijamaliza,
nauliza maswali naye ananipa style am trying naandika na imitate (naiga)
mshkaji
wangu, ni mmoja kati ya watu ambao walikuwa wakiniamini mi ninaimba,
unajua zamani hapa down town watu waliokuwa wanaimba yaani wakali wa
kuimba walikuwa ni Mr Paul na Terrence tu basui, kwahi ilikuwa wakati mi
sijulikani ikawa kinachotokea ni kwamba dada zake FA wamegawana hawa
wanampenda Mr Paul hawa Terrence sasa FA akawa anawaambia aaaah nyie
hamjaskia nyinyi kuna mnyamwezi mmoja noma huyo nomaaa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni