Baada ya colabo na T.I, Psquare waja na video hii mpya - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ijumaa, 28 Novemba 2014

Baada ya colabo na T.I, Psquare waja na video hii mpya

wasanii wawili wakali Africa wanaounda kundi la Psquare kutoka Nigeria wamekuja na video ya pili mpya "Shekini" kutoka kwenye album yao ya 6 iliyoingia sokoni hivi karibuni "Double Trouble"  
Kama unaangalia sana Tv za kimataifa utagundua kuwa video ya Psquare feat T.I "Eje ajo" inafanya vizuri sana na inachezwa kila baada ya muda lakini ukiangalia video hii utagundua kuwa mivunjo ya ndani imeitendea haki ngoma hiyo ambapo wanaonekana wakiwa wamejumuika na dancers wadogo wenye mivunjo ya hatari... angalia video hiyo hapa chini 
 

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa