JAJI – ‘Kahawa zitengenezewe tahadhari ya saratani’ - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ijumaa, 30 Machi 2018

JAJI – ‘Kahawa zitengenezewe tahadhari ya saratani’


Wataalamu wengi wamezungumza kuhusiana na suala la madhara ya kahawa mwilini. Hayo yakiendelea Jaji mmoja nchini Marekani ameeleza kuwa kahawa inatakiwa itengenezewe tahadhari ya saratani.
Jaji huyo ameeleza kuwa japokuwa ushahidi wa kwamba kahawa ina madhara au lah bado haujawa wazi, watengenezaji wa kahawa wanatakiwa kuweka vikaratasi vya tahadhari kwenye bidhaa hiyo.
Sheria ya Maji Safi nchini humo inaeleza kuwa inahitaji kuwekwa lebo za tahadhari kwenye vinywaji vyote vyenye kemikali aina takribani 900 zinazojulikana kwa kusababisha saratani na matatizo ya uzazi.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa