Wiki hii ilikuwa wiki ambayo waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameeleza mengi yaliyoteka vichwa vya habari.Kati ya mambo aliyozungumzia ni pamoja na uamuzi wa Rais John Magufuli kuwasimamisha na kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa umma.Membe ambaye aliwania nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, amekaririwa na gazeti la Mwananchi akieleza kuwa ni rahisi kwa rais Magufuli kufanya hivyo kwa sababu watu anaowasimamisha hakuwateua yeyekwa sababu hawafahamu.“Ni rahisi kumshughulikia mtu usiyemfahamu, lakini sio rahisi kumshughulikia unayemfahamu. Kwake kufanya hivyo ni rahisi kwa kuwa pia ni rahisi kuwashughulikia watu usiowajua kuliko watu unaowajua, lakini hebu tuone kama atafanya hivyo pia kwa hao aliowateua mwenyewe,”Membe alisema.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Jumatatu, 25 Januari 2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni