Ndege inayotumia nguvu za jua yajaribiwa - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumatano, 18 Machi 2015

Ndege inayotumia nguvu za jua yajaribiwa

 Jaribio la ndege inayotumia nguvu za jua
13 Machi 2015 Imebadilishwa mwisho saa 15:07 GMT
Jaribio la kuruka angani kwa ndege inayotumia umeme wa jua limeanza.Ndege hiyo iliruka kutoka Abu Dhabi,kabla ya kutua Oman na kuelekea nchini India.Ziara yake katika sayari inatarajiwa kuchukua miezi mitano ikiwa na changamoto za kuvuka bahari za Pasific na Atlantic.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa