sasa naona ile "break the internet" ya Kim Kardashian imeanza kuingia na
Tanzania, kama sio hiyo basi itakuwa ni kutazama sana kwa video ya Nikki Minaj "Anakonda" lakini hii ningependa kuiita "ana ndimu" maana ni sheeedaaaaah
Aliewahi kuwa miss Sinza 2011, Husna Maulid ameingia kweye kashfa
nyingine tena baada ya picha zake za utupu kuvuja mitandaoni.Picha hizo
ambhazo zinaoneka kuwa zilipigwa na proffesional photographer
zinamuonyesha akiwa katika pozi tofauti tofauti zimeenea katika mitandao
kuazia siku ya jana mpaka leo hii.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni