WIZ KHALIFA NA FUTURE WATOA NYIMBO KUWADISS AMBER NA CIARA, USIKILIZE HAPA.. - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumapili, 2 Novemba 2014

WIZ KHALIFA NA FUTURE WATOA NYIMBO KUWADISS AMBER NA CIARA, USIKILIZE HAPA..

wiz-khalifa-amber-rose

Future na Ciara waliamua kuvunja ndoa yao miezi michache iliyopita, huku Wiz Khalifa na Amber Rose wakiamua kuivunja ndoa ya wiki chache zilizopita. Habari mpya ni kwamba Future na Wiz Khalifa wameingia studio na kurekodi wimbo wa pamoja wakiwadiss waliokua wake zao  ( Amber na Ciara )
Wimbo huo ambayo imeachiwa jana usiku kupitia mtandao wa Youtube na Prodyuza Mike Wil ambaye ndio aliyetengeneza ngoma hiyo. Wimbo huo uliopewa jina la ‘P**sy Overrated na lengo kubwa likiwa ni kuwaponda Ambaer na Ciara. Katika moja ya mistari ya nyimbo hiyo Wiz alimponda Amber kwa kusema ” Rich ni**a get you/ he’ll never put nothing above you / every time I see you I don’t never want nothing from you ” huku Future akimponda Ciara kwa kusema ” You supposed to f*ck me like a star/ girl you know you faking / yo pu**y overrated!”
Unaweza usikiliza wimbo huu hapa chini. Tungependa kupata maoni yako kuhusu kitendo kilichofanywa na Future na wiz je ni sawa??? 

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa