Tazama picha za harusi ya Samuel Eto'o baada ya kuishi miaka 10 na mchumba wake - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ijumaa, 28 Novemba 2014

Tazama picha za harusi ya Samuel Eto'o baada ya kuishi miaka 10 na mchumba wake

Star wa mpira wa miguu kutoka Cameroon Samuel Eto’o amefunga ndoa na mama wa watoto wake, Ivorian Tra Lou Georgette katika sherehe ndogo wiki hii siku ya jumatatu November 24.
Imeripotiwa kuwa mcheza mpira huo alim-propose  mchumba wake huyo mwezi wa saba na pete ya diamond yenye thamani ya Euro 500,000 licha ya kuwa wawili hao walishaoana kwa ndoa ya kimila tangu 2007 na wamekuwa pamoja kwa miaka 10 sasa.

Sherehe hizo zimefanyika CapiagoIntimiano, katika mji wa malavidavi Como,Italy.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa