Mapacha
kutoka nchini Nigeria Peter Okoye&Paul Okoye P- Square pamoja na
kaka yao Jude Okoye,Jumatatu ya Nov 24 wamempoteza mzazi aliyebakia
ambaye ni baba yao mzazi hii ni miaka miwili tangu afariki mama yao.
tovuyi ya www.Naij.com imesema kuwa Mr.Okoye alikua akisumbuliwa na maumivu ya Goti baada ya kufanyiwa upasuaji ingawa hali iliripotiwa kuendelea vizuri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni