Solange alipigwa picha pale alipooneka akitoka kwenye ceremony ya harusi yake akiwa na dada yake Beyonce na shemeji yake Jay Z huku uso wake na shingo vikiwa vimemvimba vimba kwa kinachosadikiwa kuwa ni allergy ya kitu alichokula.
Beynce alionekana kupaniki na kujaribu kumfunika mdogo wake nakitambaa
cheupe usoni, lakini tayari paparazi walishawahi kupiga picha kabla
hajamfunika
Hii imekuwa ni bahati mbaya ya pili kwa Solange kwa mwaka huu ya kwanza ikiwa ni video
iliyovuja ikimuonyesha mdogo huyu wa Beyonce akimpa makonde Jay Z ambae
ni shemeji yake walipokuwa kwenye lift na kupelekea Solange kuondoka
gari moja na Beyonce na Jay Z kuondoka na gari lingine
Mambo yalikuwa tofauti wakati huu ambapo wote watatu walionekana kuingi akatika gari moja na kumkimbiza hospitali mke mpya wa Allen Furguson ambaye ni director wa video za muziki
hizi ni baadhi ya picha zake za harusi yake
hizi ni baadhi ya picha zake za harusi yake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni