Hiki ndio kilichomuua Rapper Geez Mabovu - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumamosi, 15 Novemba 2014

Hiki ndio kilichomuua Rapper Geez Mabovu

Baba mdogo wa marehem Geez Mabovu (30)  amesema kuwa Mbovu ambae amefikwa na mauti jana usiku majira ya sa mbili na dakika 15 alikuwa anasumbuliwa na kifua na kufariki akiwa nyumbani kwao


"Mimi naitwa Abasi Upete ni baba yake mdogo na Geez Mabovu, actually katikati hapa madaktari kifua kilikuwa kinamsumbua kwahiyo walikuwa wanashindwa kujua tatizo ni nini, maana amefia nyumbani tu kwahiyo wakasema hawawezi kufanya chochote mpaka
waweze kupata makohozi ili tuweze kujuwa kifua kulikuwa kinamsumbua hasa ni nini kama ni kifia kikuu au tatizo gani lakini bahati mbaya ndio amefariki saa mbili na dakika kumi na tano. ni kama wiki mbili na nusu zilizopita hivi hali ilizidi kuwa mbaya katikati hapa lakini kaka yangu ambae ni baba yake alienda kumchukua Daresalaam kama wiki mbili na nusu hivi, tutakuwepo mlandege karibu na tenki la maji, ana miaka 30, mpaka sasa hivi hatujapata taarifa zozote unajua vijana hao, na mazishi yatakuwepo  saa kumi tutasalia katika msikiti wa mwangata maeneo ya mololo" amesema baba yake mdogo.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa