Rihanna amepost picha akiwa ikulu ya marekani (white house) alipotembelea siku ya jana huku akiwa amepozi sehem mbali mbali za ikulu
kila moja ikiambatana na caption zikuhusu moja ya episodes za "Scandal" inayoruka kupitia kitup cha ABC
manano aliyoyaambatanisha kwenye picha hii ni kama anamwambia President’s Chief of Staff amfungulie geti la ikulu
ambapo aliandika "CYRUS!!! LET ME IN!!" #DayAtTheWhiteHouse
crew nzima ya Riri ndani ya ikulu
"West Wing Posse!! We wanna be O.P.A. so bad!!!#DayAtTheWhiteHouse"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni