Siku moja baada ya kudondosha audio ya wimbo wake mpya akiwa amemshirikisha Diamond
"Coco Baby", Waje ameachia video ya wimbo huo leo hii.
God father production ndio wamesimamia
utengenezaji wa video hiyo iliyo tengenezwa nchini South Africa yenye
rangi nzuri hasa kwenye set ya beach na wasichana wazuri wakiwa wamevalia mavazi ya beach yenye rangi za kuvutia. Tazama video hiyo hapa chini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni