Kampuni
ya China inayojulikana kidogo "LandWind" imetoa gari linalofanana sana
na gari zinazotengenezwa na kampuni ya magari ya Uingereza "Range Rover
Evogue"
hii ndio Range Rover E vogue (UK design)
Ukiliangalia
kwa mara ya kwanza utajua ni Evougue kutokana na muundo wa body lake,
taa zake na logo ya silver pembeni mbele karibu na bonnet.
E vogue (UK design) inasimama kwa pound 40,000 ambae ni sawa na shilingi 109,484,364.60 huku kampuni ya China ikizindua gari hilo kwa Pound 14,000 ambazo ni sawa na shilingi 38,340,544.52.
Mendani
mkuu wa Land
Rover, Dr Ralf Speth ameiambia Autocar magazine: "ukweli kwamba aina hii
ya kuiga inayoendelea China unakatisha tamaa, haki miliki (IP)
inamilikiwa na Jaguar Range Rover na kama ukivunja umiliki huo basi
utakuwa unavunja sheria za kimataifa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni