MFANYABIASHA ALIYE JILIPUA KWA RISASI JIJINI ARUSHA AIBUA MAMBO MAZITO - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumanne, 28 Oktoba 2014

MFANYABIASHA ALIYE JILIPUA KWA RISASI JIJINI ARUSHA AIBUA MAMBO MAZITO









Suala la mfanyabiashara Timoth mroki kujiua kwa risasi kumeibua mambo mapya  kutokana na kuelezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi .
Habari zilizopatikana kutoka jijini arusha , zinasema kuwa Mroki (36) Alikuwa na vimada wawili ambao ni wake za watu na kabla hajafanya tukio hilo la kupo Alitoa taarifa kwa wanawake hao ( majina yao yamehifadhiwa )

Habari kutoka ndugu wa karibu ni kwamba vimanda hao baada ya kufahamiana waliamua kupiga picha  ya pamoja na kumlushia Mroki kwa njia ya simu  ya mkononi . Kugundulika kwa siri hiyo kurizusha tahaluki  kwa mroki  hivyo kukasababisha kuyumba kwa mahusiano baina ya vimada hao wawili , akiwepo mmoja ambaye ni mshirika wake wa biashara.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa